← Back to published data

Faida ya matumizi ya majiko banifu katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Manyara Tanzania

Author
Getrude Sombe
Sector
Environment Sector
Posted
2023-07-01 14:31:53

Description

David Petro Mkufunzi wa majiko banifu akielezea namna majiko banifu yaliyowezesha kupunguza ukataji miti ovyo na kutunza mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Manyara Tanzania

Document

Download video

6961_PETRO.mp4