← Back to published data

Upandaji wa Miti katika Halmashauri ya Simanjiro Manyara Tanzania

Author
Getrude Sombe
Sector
Environment Sector
Posted
2023-07-01 13:46:33

Description

Mwalimu Ismail Ikwazo Mkuu wa Shule ya Olkesmet akifafanua namna zoezi la upandaji miti lilivyowezesha kutunza mazingira ya Shule ya Olkesmet ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Manyara Tanzania

Document

Download video

6959_Mwl ISMAIL.mp4